Asalam alakum,leo tuangalie mti unaoheshimika na kuogopwa na wachawi,mti wa nguvu una kaliwa na viumbe wa kijini .mti ambao hutunika katika matambiko ni kinga kubwa na ufunguo wa mambo yaliyofungwa kichawi hufunguka haraka kwa kutumia mti huu.mti wa utajiri in sifa yake kwani hupandisha Nyota kwa haraka na kukufanya uwe na mvuto wa ajabu kama ni mfanyabiashara utapata wateja wengi na tenda nyingi ikiwa mfanyakazi utapandishwa cheo na utaona maajabu makubwa katika pato lako yaani utapata pesa katika njia usizotarajia.mti huu pia hutibu maradhi mbalimbali katika mwili kama vile,vidonda vya koo,macho,kichwa,mafua,kifua,figo na mchango.kwa wenye maradhi niliyataja tengeneza juisi kwa kutumia majani ya kivumbasi kunywa glasi moja asubuhi na jioni kwa uwezo wa alah utapona.kwa kutoa uchawi chukua majani ya mti wa kivumbasi mizizi yake majani ya mbaazi,miski ya unga,unga wa mkunazi,habati nuksi,changanya kwa pamoja chemsha tumia kuoga na kujifukiza kwa Siku saba asubuhi na jioni hata kama um...