DUA YA KUPATA RIZIKI

Asalam alaykum,ukiwa unahitaji upate riziki ya halali kwa kumtegemea mwenyezimungu unapaswa kuzingatia haya 1.unapaswa kuamini kuwa anaetoa riziki ni  mwenyezimungu 2.kuwa na subra jua alah atakuruzuku 3.Amini kitabu chake na usiweke hofu ya aina yoyote wakati unamuomba 4.mche alah usiku na mchana kwa unyenyekevu wa hali ya juu 5.Jijengee mazingira ya kutoa sadaka kwa kile unachokipata.    Hayo niliyo yaelezandugu msomaji ukiyazingatia utaishi maisha ya furaha na amani siku zote na kamwe hauto fikiria njia za haramu alah atakupa pato la halali.ifuatayo ni dua ya kupata riziki ya halali utataja jina hili YALATWIFU Mara 16641 ukifika 1000 taja haja yako ukimaliza Mara 1000 nakutaja manuizi yako unasoma dua hii Allahu latwifu biibadi yarzuku man ya shau wahuwa kawiyu laazizi,allahuma usialuka antarzukuni rizik halali twayiba min ghairtaabu.Nakuambia ndugu yangu ukisoma kwa ukhlasw utapata kuona maajabu katika riziki yako alah atakupa pato la halali kwa wepesi zaidi na kukuondolea tabu.kwa hakika ukimuamini alah na ukamuomba kamwe huto angaika maishani kwako Abadan kwa kuwa kila unachokifanya unamtegemea yeye alah kwa hivyo utaona miujiza mikubwa.                          Ndugu mfuatiliaji wa blog hii nahitaji maoni yako lengo kuifanya blog hii iwe kubwa na iwasaidie wengi kokote ulimwenguni kwa kupata elimu itakao wasaidia kufanikisha matatizo yao inshaalah naitwa Doctor sebuse Facebook natumia Dr shebughe pia nina Facebook page ya tiba ya kweli na group la tiba ya kweli ufumbuzi wa matatizo na Dr sebuse tiba za Quran na MITI YouTube natumia doctor sebuse tiba asili Email doctorsebusetibaasili@gmail.com Namba za simu +255684150612/+255763314206/+255657929022

Comments

Popular posts from this blog

MTI WA UTAJIRI KIVUMBASI/MALUMBALUMBA